Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata akishindwa kujizuia kulia baada ya kuwahutubia Wanawake akiwaasa kuepukana na marumbano ya kisiasa yaliyoibuka nchini kwa madai kuwa endapo yakiendelea yatasababisha vurugu na kwamba wanawake na watoto ndio watakaoanza kuathirika. Maneno hayo aliyatoa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani mjini Geita.
Thursday, March 10, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment