Baadhi ya wapenzi wa burudani usiku wa kuamkia leo walinaswa na paparazzi wetu wakisherehekea mkesha wa Christmas kwa kujiachia na muziki uliokuwa ukiporomoshwa na Machozi Band ya Lady Jaydee katika ukumbi wa Mzalendo Pub, Millennium Towers jijini Dar es Salaam. PICHANI ni Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ akifanya vitu vyake.
Mashabiki wakipagawishwa na midundo ya Machozi Band.
Kutunza ilikuwa ruksa.
0 comments:
Post a Comment