SHINDANO la kumsaka mrembo mwenye kipaji, Unique Model, lilifikia tamati jana katika Hotel ya Giraffe iliyopo Kunduchi jijini Dar, Mrembo Diananson amefanikiwa kulitwaa taji hilo huku Mariam Rabii alishika nafasi ya pili na nafasi ya tatu ikienda kwa Asia Dadii. Warembo kumi walishiriki katika kinyanganyiro hicho ambacho kilileleta mvutano baada ya ndugu na marafiki wa warembo kumjia juu muandaaji, Methuselah Magese, wakidai kuwa alichakachua majina ya washindi.Pichani ni washiliki wote wakiwa katika picha ya pamoja.ndaji wa shindano hilo Methuselah Magese akiwa katika meza ya majaji akiangalia matokeo kitu ambacho baadaye kilisababisha kizaza kwa madahi kuwa alienda kuchakachua matokeo.
Warembo waliofanikiwa kuingia tatu bora wakiwa katika picha ya pamoja.
Majaji wakijadiliana jambo na muandaaji (kati)
Mwandaaji akitangaza matokea
Mmoja wa majaji, Miriam Gerald
meza za majaji zikiwa tupu kabala ya kumalizika kwa shindano
0 comments:
Post a Comment