Social Icons

Friday, November 12, 2010

SUGU ACHANA MISTARI KWA WAANDISHI WA HABARI

MBUNGE mteule wa jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Mr Sugu' akiwapa mistari wanahabari waliokuwa katika viwanja vya bunge, mjini Dodoma jana, mara baada ya kuwasili hapo kwa shughuli za bunge.


....Sugu akiendelea kumwaga mistari kwa wanahabari hao.

0 comments: