Social Icons

Friday, November 12, 2010

BONGO STAR SEARCH YAZIDI KUNOGA!!

Bella Kombo (kushoto) akiwa kwenye pozi na mwalimu wake.
Oya! mzungu kama vipi onyesha dole maana mambo yako shwali ileile!!
Aaah! mzeey inakuwaje sasa mbona huna Swagger?
Mrembo akiangua kilio muda mfupi baada ya majina ya waliochapa lapa kutajwa.
aaaah! siamini kweli ... katoka?
Duh! kweli inasikitisha jamani...
Haaaaaa! hata siamini macho yangu ... katoka?
Aiseee... sizani kama tutaonana nae tena.
Naomba Mungu lisije kuwa jina langu.
My God! sitachapa lapa kweli leo?
Washiriki waliokuwa kwenye dagerlas wakiwa stejini muda mfupi kabla ya majina ya watakao toka kutajwa.
Mwaaaaaaaaa.... maana bora tuagane kabisa wangu...
Unaona baanaaa!!
Washiriki wa BSS wakiwa kwenye picha ya pamoja na mateja20.
Pamoja na majonzi Swagger hazikukosekana pande hizo.
Mambo yalikuwa hivyo wadau.
Oya kama vipi .... tukitoka kuimba sawaaaaaaaa
Wakiwa katika pozi.
Haa!! unanipata nini bro'
Hawa nao hawakuwa nyuma kuunda pozi mahari hapo.
Mambo ya pozi.
Haji Ramadhan akiwajibika jukwaani.
Godin Gondwe (kulia) akipewa maelekezo na waongozaji wa zoezi hilo.
Joseph akikamua stejini.
Baadhi ya watazamaji na majaji wakifuatilia mchakato huo
Mshiriki akiwa bize jukwaani.
Shafi Zubery akiwajibika.
Msikaji akiongoza chombo cha kuchukulia matukio.
Mambo kama haya wadau.
Kamera man akichakalika kukusanya kumbukumbu.
Mashabiki wakifuatilia mchakato.
James Martin akitetea nafasi yake.
Wazir Salim (kulia) akiwa katika pozi na washiriki wenzake.

Jaji mkuu wa mashindano hayo Madame Lita katika pozi.
Mtangazaji wa (BSS) G. Gondwe katika pozi.
Mrembo katika pozi.
Salama Jabir katika pozi.
Master J na Mzungu Kichaa katika pozi.
LILE shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) linazidi kunoga na kukonga mioyo ya Watanzania wanaofuatilia zoezi hilo kwa makini.
Mateja20 usiku wa kuamkia leo ilibahatika kufingia katika ukumbi wa Water Front Posta jijini Dar es Salaam na kubahatika kushuhudia uandaaji wa kipindi hicho ambapo ilipata laivu baadhi ya matukio ya mchakato huo.



0 comments: