Akiongea na mateja20 pande za Sinza Afrikasana Novemba 11 mwaka huu, H. Baba alisema kwamba tayali wameshakamirisha filamu hiyo na kwamba inapatikana madukani tangu jana.
Filamu hiyo aliyowachezesha mastaakibao kama Yusuf Mlela,Shalobaro,H.Baba, Eric, Shakira Salima na muandaaji wa movie hiyo July Tax imechezewa katika mji wa Mwanza, Tanga na Dar es Salaam.
H.Baba alitumia muda huo kuwaomba wadau wote wa filamu watembelee katika maduka mbalimbali yanayohusika na uuzaji wa filamu kwani inapatika part 1 na 2.
0 comments:
Post a Comment