![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjv8ubEVB2Bz4vrf6C1uFhGSnG36rF04T_pakSeNmCbrd8L4W7Q51OysHPP6q_5f6jRdxjr91ti4VNQSDR5DDug4HwYMLSRJ1VXsP4ABKUhAcwq4A7hG6I8rHX8LMpZ-bAami3mYFCcil0/s320/67633_164605166896487_100000410153101_444886_1583659_n.jpg)
Cheki tukio hili linavyosikitisha, Nikwamba mshikaji alitoka nyumbani kwake kama kawaida akielekea Job kwake kama ilivyo kuwa kawaida yake pasipo kufaham ni yapi yatamtokea muda mfupi baada ya kufika mitaa ya pale kati alijisahau na kujikuta akivamia gari uso kwa uso na kilichomkuta ni hiki baaanaa....!! usiombe ikakutokea hii so just take care uwapo barabarani.
0 comments:
Post a Comment