Social Icons

Thursday, September 9, 2010

TAPELI MZOEFU ANASWA!


Jamaa anajulikana kwa sifa ya utapeli wa muda refu, lakini waswahili husema za mwizi arobaini. Baada ya miaka kumi, jamaa kajikuta anaingia 18 za mtu aliyemtapeli miaka 10 iliyopita. Eti kajifanya kasahau na kutaka kumtapeli tena....jamaa, huyu, mkazi wa Ilala Bungoni Dar, haoni tabu kusema ukweli, msikilize mwyewe!.

...baada ya kichapo na kuvuliwa nguo...jamaa akarudishiwa nguo zake

...anaanza kuvaa suruali

.....anakaa na shati

...akasaidiwa kvaa sawasawa

....kawa baridiiii

....kaanza na kuwasiliana na jamaa zake

...moja ya barua alizokuwa akitumia kutapeli raia

0 comments: