Social Icons

Thursday, September 9, 2010

MAMISS WAONYESHANA VIPAJI.....

Warembo wanaowania taji la MISS VODACOM TANZANIA 2011, jana usiku walikuwa wakiwania taji la MISS TALENT kwa kuoneshana uwezo wa kuimba na kucheza katika Ukumbi wa MUCH MORE jijini Dar es salaam. PICHANI ni TOP 5 iliyoingia fainali hizo ambapo mshindi wake atatajwa JUMAMOSI hii wakati wa fainali za MISS TANZANIA zinazotarajiuwa kufanyika MLIMANI CITY. Taji la Miss Talent limedhaminiwa na Kampuni ya MULTICHOICE TANZANIA.

...mmoja wa warembo hao akionesha kipaji cha kuimba

.....ni mambo ya vipaji vya kuimba kwa hisia kali

...huyu naye ana kipaji cha kuduarika mpaka chini

..Miss Talent mwenyewe wa mwaka jana...akionesha mambo yake hapa

...Pili Issa wa Tabora( kushoto) yeye ana kipaji cha kupamba kama anavyoonesha kwa mwenzie




0 comments: