Social Icons

Saturday, September 11, 2010

MAKAMZI MBALI MBALI YA IDD!!!!

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar, jana walinaswa na Mateja20 katika viwanja mbalimbali wakiwa kwenye mishemishe za kusherehekea sikukuu ya Idd katika fukwe za Msasani Beach wakati bendi ya Akudo Impact ‘Vijana wa Masauti’ walikuwa wakikamua.

Wanamuziki wa Akudo wakipagawisha.

Wanenguaji wa Bendi ya Extra Bongo nao walijinafasi na bendi yao ndani ya Ukumbi wa New Msasani Club.

Actors wa Bongo movies Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’ kushoto na Frola Mvungi walinaswa na Mateja20 wakisherekea Idd kwenye onesho la Twanga Pepeta Mango Garden, Kinondoni usiku wa kuamkia leo.


Pedeshee Pius Ruta ‘Mzee wa Pamba’ akikandamiza.... kwa kiburudisho alicho kiopoa ukumbini hapo.

Hapa sasa freeshii kwa ...

0 comments: