Walioshuhudia moto huo ulioanza kuwaka majira ya saa saba za mchana walivilaumu vikosi vya uokoaji na zimamoto ambavyo vilichukua zaidi ya saa moja tangu moto huo uanze kuteketeza vitu katika jengo hilo.
Wafanyakazi wa Tanesco wakiondoka eneo la tukio baada ya kuhakikisha umeme hauleti tena madhara eneo hilo.
Mashuhuda wakishangalia tukio hilo.
Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kulinda usalama.
Gari la zimamoto la kampuni ya Ultimate Security likielekea eneo la tukio.
Baadhi yao wakishuhudia sakata hilo.
0 comments:
Post a Comment