Social Icons

Monday, September 13, 2010

GENEVIVA MPANGALA AMVUA TAJI MIRIAM!!!!!!!!

MISS Vodacom Tanzania2010, Geneviva Mpangala (katikati) akiwa na washindi wenzake muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kulia ni mshindi wa tatu Consolata Msofe, na kushoto ni mshindi namba mbili Groly Mwanga.
Baadhi ya warembo waliyobahatika kufika kumi bora.
Miss Vodacom 2010 wakiwa kwenye vazi la ufukweni.


mambo ya utamburisho.

Ilikuwa wawili wawili Unaona baana!!!!!!!

Haa! mamiss kama vijana wa THT baana!!!!!!!
Mkuu wa mkoa wa Dar, Wiliam Lukuvi (katikati) akishuhudia ishu hiyo na waziri wa Nishati na madini Wiliam Ngereja kulia.

0 comments: