Social Icons

Sunday, July 31, 2011

KIVAZI CHA LINAH CHAWA KIVUTIO FIESTA 2011

MSANII wa miondoko ya Hip Hop kutoka nchini Marekani Ludacris, Usiku wa kuamkia leo alifanya makamuzi ya kutosha ndani ya Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambapo aliingia nchini tangu Julai 28 mwaka huu, kwaajili ya kutumbuiza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2011, ambalo hufanyika kila mwaka.
Enesho hilo lililokuwa limesheeni wasanii kibao wa hapa nchini, lilikonga vilivyo mioyo ya mashabiki wake.

Kivutio pekee kilichosisimua tamasha hilo, nipale alipopanda msanii wa kike kutoka THT, Estalina Sanga 'Linah' akiwa ametinga kivazi kilichokuwa kikionyesha wazi baadhi ya maumbile yake.
Sambamba na hayo yote pia shoo hiyo ilivutia sana baada ya watangazaji wa Cluods FM, Fatma Ramadhani 'DJ Fetty', Adam Mchomvu na Hamisi Mandi 'B12' kushindana kwa kupiga na kuimba nyimbo za wasanii waasisi wa Bongoflava nchini, ambapo tamasha hilo lilikuwa likitimiza mika 10, tangu lianzishwe.
Ludacris akikamua jukwaani na jamaa yake.



Linah na kivazi kilichowavutia mashabiki zake
Gardener Habash akipokea tuzo kwa niaba ya Lady Jaydee kutoka kwa Linah.
Linah akiondoka jukawaani hapo.
Meneja wa kundi la TMK Family Saidi Felly (wa pili kulia),akiwa kwenye pozi na wasanii.

... mpango mzima ulihudhuliwa na umati wa kutisha.
Linah akionyesha uwezo wake.
Linah alipagawisha namna hii.
Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Adam Mchovu akipagawisha mashabiki.
B12, naye alipagawisha kama Ludachris, mavazi hadi swagger zake.
Linex akikonga nyoyo za mashabiki waliojitokeza kwenye tamasha hilo.
Bob Junior, akitetea jina lake.
Shetta naye hakuwa nyuma kuwapagawisha wapenzi wake.
Mr Blue a.k.a Babaisa akikumbushia enzi zake jukwaani.
Dully Sykes, kulia, na wacheza shoo wake wakiwajibika jukwaani hapo.



Wasanii wanaunda kundi la TIP TOP Connection wakiwa kwenye pozi la pamoja.
Professa Jay (kushoto), akipozi na MwanaFA, nyuma ya jukwaa la Fiesta.


DJ Fetty, B12 na Mchovu wakiwa kwenye pozi nyuma ya jukwaa.
Msanii kutoka THT, Amini Mwinyimkuu, akipagawisha kama Michael Jackson.

Warembo hawa nao hawakuwa nyuma kuonyesha swagger zao.
MwanaFA, akipagawisha.
Ludacris akipagawisha.
Professa Jay, akionyesha uwezo wake jukwaani.
Mashabiki wakipagawa na midundo ya Fiesta.





SALHA ISRAEL ALIVYOIBUKA NA TAJI LA MISS ILALA 2011

Miss Ilala2011 Salha Israel (katikati anayepunga mkono), akiwa kwenye pozi na washindi wenzake Alexia William. ambaye ni mshindi wa pili (kushoto), na mshindi wa tatu Jennifer Kakolaki.
Mkurugenzi wa Paris Pub na mdhamini wa mashindano hayo John Mange (kushoto), akimpongeza, Salha muda mfupi baada ya kutajwa mshindi.

Miss Ilala 2011 (katikati), akiwa na washindi wenzake walioingia tano bora.Majaji wa shindano hilo wakiwa kwenye pozi la pamoja tayari kwa kuchuja washindi wa mpambano huo.

John Mange (wa tatu kushoto) akiwa kwenye meza ya pamoja na jamaa zake na Miss Kinondoni 2011, (wa pili kulia), na mwishoo kulia ni mdogo wake Jonh Mange, Innocent.Mwanamuziki wa Twanga Pepeta, Chalza Baba (wa pili kushoto),akiwa kwenye pozi na John Mange anayemfuatia na miss Kinondoni 2011 mwisho kulia.

Mmpja wa warembo hao akiwa ameshikilia nyoka wakati wa kutafuta taji la mrembo mwenye kipaji.
Onestar, akitowa burudani ukumbi hapo na wanamuziki wenzake.
Mkurugenzi wa mashindano hayo Hasheem Lundenga (kulia), akiteta jambo na mratibu wa shindano hilo, Kalikumtima.
Mishindi namba mbili wa kinyang'anyiro hicho, Alexia William (kushoto), akimpongeza mshindi wa shindano hilo muda mfupi baada ya kutajwa mshindi.
Jaji mkuu wa shindano hilo Vivian Shilikwa (kushoto), akisoma maswali kwa washindi walioingia tano bora.
Mkuu wa Idikadi na mipango wa mashindano hayo, Oscar Makoye (katikati), akimsainisha mshindi wa shindao hilo muda mfupi baada ya kuka
Miss Ilala 2011, akipewa mkono wa pongezi, katibu wa mipango Paris Pub, Dk Angello.
Mamiss hao wakitoa shoo kabla ya matoke kufikiwa.
Miss Temeke 2011, kushoto, akiwa kwenye pozi na warembo wenzake.
Baadhi ya wanamuziki wa bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta' wakisherehesha mashindano hayo.
Wanenguaji wa bendi hiyo wakiwajibika kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka miss Ilala 2011.
Mdhamini wa shindano hilo na mkurugenzi wa Paris Pub, John Mange (kulia), akimpa mkono wa pongezi Mil
Mdogo wa mkurugenzi wa Paris Pub, Innocent (kushoto), akiwa kwenye pozi na miss Ilala 2011, na mwishoni mwao nii
Miss Ilala 2011, Salha Israel, akiwa kwenye pozi la mkurugenzi wa Paris Pub John Mange (wa pili kutoka kushoto), wengine ni baadhi ya wafanyakazi wake.
John Mange (katikati), akipozi na miss Ilala na Innocent.
John Mange katika pozi na Salha.

John Mange katika pozi na Jacqueline Wolper
Mkurugenzi wa Paris Pub John Mange (kulia), akiwa kwenye pozi na Jacqueline Wolper, muda mfupi baada ya mashindano ayo kuisha.
Wolper, akiteta jambo na John Mange.
Miss Kinondoni 2011, akipozi na Innocent kwenye kinyang'anyiro cha miss Ilala.
John Mange na Miss Kinondoni.