Social Icons

Wednesday, January 4, 2012

NI SHUGHULI PEVU BONGO MOVIES

MBUNGE WA WAWI (CAFU), HAMAD RASHID ATIMLIWA KAZI

Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed.

Habari zilizotufikia hivi pundu ni kwamba Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed, na wenzake watatu akiwemo Shoka Hamis wamefukuzwa katika uongozi wa CUF.

Monday, January 2, 2012

UZINDUZI WA DAR LIVE NI HISTORIA MPYA MBAGALAka Mambo haya yametokea katika Ukumbi wa Dar Live Mbagala usiku wa kuamkia leo.

Inspector Haroun akiongoza Gangwe Mobb kupagawisha mashabiki.

…. akiwajibika na kundi lake.

Profesa J: Nikisema Dar, Sema Live!!!


…Jay akiongea na mashabiki wake.


……akiwajibika na mdogo wake..


....show girls wa Mbagala...full mzuka!


...totozi za Mbagala kama mamtoni!


Mzee Yusuf alikoleza moto wa Dar Live.


Leila Rashid wa Jahaz Modern Taarab akiwadatisha mashabiki.


Juma Nature na wanaume halisi wakikoleza moto wa maraha.


Wanenguaji wa Extra Bongo wakiongeza utamu wa uzinduzi huo.


Mshereheshaji wa onyesho hilo kutoka Times Fm akifurahi na mashabiki.


Kundi la Wanaume Halisi linaloongozwa na Juma Nature likinyanyuliwa juu ya jukwaa.


Mwanamuziki wa kundi la Wanaume Halisi, ajulikanaye kama KR (kushoto) akiwa na mtoto wa mpigapicha wa Global, Ajibu Issa Mnally.


Baadhi ya wasanii waliotoa burudani jana.


Samaki na Nyama choma za kufa mtu zilikuwepo...

DAR LIVE, ukumbi wa kisasa wa maraha ya kila aina ulioko Mbagala Zakhem, Dar es Salaam, jana ulizinduliwa rasmi na kufurika watu lukuki waliojimwaya katika starehe za muziki, vinywaji, kuogelea, kufaidi mabembea, na kadhalika. Miongoni mwa starehe za kuvunja mipini ya shoka zilizopatikana katika kituo hicho, ni muziki ulioangushwa na Jahazi Modern Taarab, Extra Bongo na wasanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Profesa Jay, Gangwe Mobb na Wanaume Halisi wakiongozwa na Juma.



Sunday, January 1, 2012

UZINDUZI WA DAR LIVE ULIANZA KWA SHANGWE

Watoto wakiwa katika mabembea.

Michezo ya baiskeli ilikuwa kivutio kikubwa kwa watoto.

UKUMBI wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam umezinduliwa leo saa nne na kuwavutia watu wengi wa eneo hilo na vitongoji vyake ambapo kwa ajili ya kupata burudani ya mwaka mpya iliyojumuisha kila aina ya ‘maraha’ ikiwa ni pamoja na michezo ya watoto kwa watu ambao waliamua kujimwaga hapo na familia zao.
Mabembea ya ‘mzunguko’ yaliwavutia watoto kinoma.


Waliotaka kupanda ‘ndege’ walipata fursa hiyo.


Mratibu wa burudani katika kituo hicho, Juma Mbizo (mwenye kofia), akiwa na familia yake.


Baadhi ya watoto wakiingia katika kituo hicho.


Hapa ni moja ya vivutio vya ukumbi huo.

TAMASHA LA BONGO 50 LILIVYOFANA SIKU YA MKESHA WA MWAKA MPYA 2012

Umati wa watu waliokuwepo katika tamasha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwakilisha vilivyo ndani ya tamsaha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Shangwe na vigelegele zilitokea wakati watu wakiukaribisha mwaka kwa nderemo ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

WADAU BAADA YA KUAANZA MWAKA 2012 SALAMA SASA TULISONGESHE GURUDUMU KAMA KAWAIDA!!


PROFESA KAIJAGE ASHEHEREKEA
KUTIMIZA MIAKA 70

Theresa pamoja na wajukuu wao wakisaidiana kukata keki ya kutimiza miaka 70.

Mmoja ya wajukuu aliyewawakilisha wenzake akimlisha keki babu yake.
Mmoja ya wajukuu aliyewawakilisha wenzake akimlisha keki bibi yake.
Profesa Fredy Kaijage akiwakaribisha nyumbani kwake Waziri wa Ulinzi na JKT Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na mkewe na mwanae ambao nao walihudhuria sherehe ya kuadhimisha miaka 70.

Wageni wakijaribu kubadilshana mawazo.
...pongezi zilikuwa zikimiminika kwa Profesa Fredy Kaijage kutoka kwa marafiki.
...Mwanangu hujambo???? Mbona sikuhizi hauji tena nyumbani kusalimia. Binti anajibu; baba mambo yamekuwa mengi, nisamehe bure.
Hapa napo palinoga sana...Maprofesa walikutana kila mmoja alikuwa na lake...basi raha tu.. Mjadala huo ulikuwa ukiongozwa na Profesa Samwel Wangwe (mwenye miwani).
Profesa Fredy Kaijage akiongoza wageni wake kupakua chakula.
Profesa Fredy Kaijage, akiongeza nguvu kwa kupata chakula.
Mijadala ya hapa na pale iliendelea
...Dah! kumbe ndizi nimezipita...sasa pakua nyingi ili tukale wote. Hahahahahaha ndivyo alivyokuwa nakazia
... Profesa Samwel Wangwe (kushoto) nae hakuwa nyuma
Mtoto mkuwa wa Profesa Kaijage akiwa pamoja na watoto wake na wa kaka zake
Furaha zilitawala
Wajukuu wa Profesa Kaijage hawakuwa nyuma kwenye suala la chakula
Profesa Kaijage (wa kwanza kulia), Mkwe Theresa (wa kwanza kushoto) na mwanae wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na JKT Dkt. Hussein Mwinyi akiwa na mkewe.
Profesa Kaijage na familia yake wakiwa katika pichaya pamoja na Waziri wa Ulinzi na JKT Dkt. Hussein Mwinyi na mkewe.
...Wala hata Ruge Mutahaba hakukosa nae





Muda wa kuserebuka uliwadiaaaaaaaaaaa

Wajukuu wakitoa salamu zao kwa babu yao
Wakitoa zawadi yao
Profesa Samwel Wangwe akitoa salamu zake.
Familia pamoja
Baba na mwana wakijiachia mara baada ya kuupokea mwaka mpya 2012
pongezi ziliendelea
Kumbukumbu ya mwaka 2012