Social Icons

Sunday, January 1, 2012

TAMASHA LA BONGO 50 LILIVYOFANA SIKU YA MKESHA WA MWAKA MPYA 2012

Umati wa watu waliokuwepo katika tamasha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwakilisha vilivyo ndani ya tamsaha la bongo 50 lililoletwa kwenu na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakifurahi kwa shangwe ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Shangwe na vigelegele zilitokea wakati watu wakiukaribisha mwaka kwa nderemo ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

0 comments: