HAJI RAMADHANI ATWAA ML. 40 ZA BONGO STAR SEARCH SECOND CHANCE 2011Mshindi wa shindano la Bongo Star Search Second Chance 2011, Haji Ramadhani (katikati), akipunga mkono kwa mashabiki zake mara baada ya kutangazwa mshindi kwenye kinyang'anyiro hicho (kushoto), ni Mratibu wa mashindano hayo Rita Paulsen 'Madame Rita' akiwa katika pozi mara baada ya kumtangaza mshindi huyo, kulia ni mwakilishi kutoka Tigo ambao walikuwa wadhamini wakuu wa shindano hilo.
Haji akiwa kwenye pozi na Madam Rita.
... akionyesha mihelaaaaaaa....
... Shamla shamla baada ya ushindi.
Mateja (kulia), akipozi na Mr Flavour.
Mnenguaji wa Twanga Sharapova akimkumbatia Haji mara baada ya kutangazwa mshindi
.... wakipunga mikono juu
Mr Flavour akipagawisha jukwaani hapo.
Waziri Salum (kulia), akikabidhiwa kitita cha shilingi milioni 5, baada ya kukamata nafasi ya tatu ya shindano hilo.
Shabiki wa Roggers akinadi bango.
... eeh bhanaaa!.
Mtangazaji wa shindano hilo Godwin Gondwe akiwajibika.
Waziri Salum alivyopangawisha.
Washiriki katika pozi.
Majaji wa shindano hilo Master Jay na Madam Rita wakifurahia jambo.
... mambo yalikuwa hivi.
Madam Rita & Master Jay
... mambo ya kusaka noti hayo.
Bella Kombo akiwajibika.
PICHA ZAIDI NA HABARI ZA TUKIO ZIMA TUTAWADONDOSHEA BAADAYE KIDOGO.

0 comments:
Post a Comment