WAREMBO WA CHUO KIKUU KUMENYANA SAVANNA LOUNGE JUMAMOSI HII
Shindano la kumsaka mrembo wa chuo kiu cha Kampala International University 2011, linatarajiwa kufanyika jumamosi hii katika Ukumbi wa Savanna Lounge (quality center) uliopo barabara ya Pugu,jumla ya warembo 12 wamejitokeza kuwania taji hilo siku ya tarehe 22 Oktoba.
Shindano litapambwa na wasanii wa kizazi kipya Dully sykes,D-nob,Ngoma za asili na vijana wa kutikisika(shers),mbali ya burudani hizo kutakuwa na suprize ya ma DJ pamoja na masupastaa wa movie za Kibongo.
Miss Kampala Internationa 2011 imeandaliwa na serikali ya wanafunzi ikishirikana na wadau maarufu wa mabo ya urembo na mitindo nchini Tanzania,tiketi za fainali hizi zinapatikana CLOUDS fM,CHUONI KWAO,JB BELMONT HOTEL,SAVANNA LOUNGE(quality center)kitchen hut (mlimani city) kwa iasi cha 10,000/= (regular) na V.I.P 30,000/=
Shindano hili limedhaniwa na Savanna Lounge hotel,Belmont hotel,clouds fm,Air Uganda na uniqueentertz blogspot.
0 comments:
Post a Comment