CHEKI ENTERVIEW YA IRENE UWOYA NA ZAMARADI KUPITIA KIPINDI CHA TAKE ONE
MLOPELO AILALAMIKIA CLOUDS KWA KUTOPIGA WIMBO WAKE
Msanii wa siku nyingi wa maigizo MLOPELO ambaye pia alikuwa akiigiza kama jini mara nyingi kwa enzi hizo kupitia kaole ameibuka na kuilalamikia CLOUDS Redio & TV kwa kutopiga wimbo wake ambao kwa mujibu wake anasema uko kwenye mahadhi ya R n B..
Kwa kuusikiliza wimbo huo na malalamiko yake bonyeza hapo juu ili uweze kuuusikiliza vizuri wimbo huo.
Video zote kwa hisani ya Zamaradi blog.
0 comments:
Post a Comment