USALAMA WA NJIA KWA WASHIRIKI WA'VODACOM MWANZA OPEN CYCLE CHALLENGE'
Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga na Mwanza(KAMWASHI), Bw.Elisha Eliasi (kulia chini pichani), akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza usalama wa njia/barabara kwa washiriki wa mbio za baiskeli za “Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge 2011” na wananchi kwa ujumla wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza,…

0 comments:
Post a Comment