Social Icons

Tuesday, October 4, 2011

SURPRISE YA DIAMOND KWA WEMA SEPETU ILIKUWA HIVI!!!Sherehe ya kuzaliwa kwa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul 'Diamond' a.k.a Platinum & Rais wa Wasafi TZ, Kama ilivyosubiriwa kwa hamu na wadau wake ifike na watu waone nini kilichokuwa kimekusudiwa na Diamond kwa Laazizi, Honey, Ma' love, ma every Thing, Baby hart wake Wema Isaac Ibrahim Sepetu, hatimaye ilikuwa mchana na ikawa usiku na masaa ya Surprise yakawadia na ndipo Diamond kushika mkono wa Wema na kuusogeza karibu kisha akaupachika kitu kinachokwenda kwa jina la (Pete ya uchumba ) Je, unajua ilikuwa furaha na faraja ilioje kwa mwana wa Sepetu?... Tofauti na tukio hilo la pete, Diamond aliwezakutoa tuzo kwa wadau wake wote waliomsapoti hadi kufikia hapo alipo na miongoni mwao alikuwemo mama yake mzazi, Producer wake aliyeanza naye Bob Junior ambaye alimpa tuzo na kuahidi kumaliza bifu lao,Producer wa video zake Adam Juma, Wasafi Dan-sans, na meneja wake wa zamani Msafiri Peter 'Papa Misifa'. Katika ishu hiyo pia kulikuwa na muda wa kukata
Cake ambapo aliwalisha washikaji na wadau wake ambao anaoamini ndio sapoti yake kubwa akiwemo Msanii wa filamu Bongo Jacob Steven 'JB' Aunt Ezekiel na ndugu yake ambaye alimsababishia kutokwa na machozi jukwaani hapo kwa madai kuwa yeye ndiye shindikizo la kwanza kuzama kwenye muziki aliyekwenda kwa jina la Romeo Jones 'Rommy' kwa haya machache tafadhali jaribu kusonga na matukio katika picha hapa chini!!!





































8 comments:

Anonymous said...

All the Best Wema n Diamond

Anonymous said...

hiyo shughuli ilikuwa ya upande mmoja tu mbona familia ya wemw haiyonekani?

Anonymous said...

mama wema naaye yuko wapi?

Anonymous said...

hawajaendana kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

hivi we Diamond una miaka mingapi mbona unaonekana umekomaa sana?

Anonymous said...

NAWAPONGEZA SANA TENA SANA NA MUNGU AWABARIKI WAFIKE PALE WANAPOTAKA ILA NAPATA WASIWASI MMOJA TU MBONA HAFLA WENYEWE NI YA UPANDE MMOJA TU NDUGU WA WEMA NA WAZAZI WAKE WAKO WAPI INAMANA HAWALIJUI HILO?

Anonymous said...

WAOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Anonymous said...

DIAMOND SIYO MDOGO KABISA HUYO NI MTU MZIMA ANAONYESHA MPAKA SURA YAKE KAKOMAA ILE MBAYAAAAAAAAAAAAA