Social Icons

Thursday, October 20, 2011

MWILI WA MAREHEMU MAULID HAMAD WAZIKWA

Maelfu ya wananchi washiriki katika kusindikiza mwili wa Marehenu Maulid Hamad Maulid,(mwanahabari)kuelekea kizikwa Bumbwini Wilaya ya kaskazini B Unguja jana.
Waumini wa Dini ya kiislamu wakimsomea hitma marehemu Maulid Hamad Maulid,katika msikiti wa Mombasa kwa mchina.

PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG

0 comments: