Social Icons

Saturday, October 8, 2011

MSANII WA FILAMU BONGO SKYNER ALLY, AFUNGA PINGU ZA MAISHAMsanii wa filamu Bongo Skyner Ally (kulia), akimvisha pete mume wake mpendwa Sadi Omar wakati wa kufunga ndoa hiyo.

Msanii wa Filamu Bongo Skyner Ally, jana alivishwa pingu za maisha na kipenzi chake Sadi Omar nyumani kwao Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam. Ambapo sherehe hiyo ilihudhuliwa na mastaa kibao wa filamu Bongo, Akiwemo Irene Uwoya, Johari, Maya, Mariam Benny Kinyaiya na wengine wengi.
Bw harusi Sadi Omar (kushoto), akimvisha pete Skyner kwenye tukio la kufunga ndoa hiyo.
Skyner (kushoto), akikisi na mumewe.
... wakiwa katika pozi
Mmoja wa jamaa zake na Bi harusi akimzawadia
Msanii mwenzake Mayasa Mrisho 'Maya' (katikati), akiwa katika pozi na Bi. harusi na rafiki yao
Irene Uwoya (kulia), akipozi na mmoja wa waalikwa
Skyner akimnong'oneza jambo mumewe.
Johari na Maya wakipata msosi mahali hapo.
Benny Kinyaiya wa pili kutoka kushoto nae alikuwepo kwenye hafura hiyo

Bi harusi akielekea sehemu maalumu iliyokuwa imeaandaliwa mahari hapo.
Bi. harusi katika pozi
Baadhi ya waalikwa wakiselebuka kwenye sherehe hiyo.

0 comments: