Social Icons

Saturday, October 8, 2011




'DK. KIKWETE ALAMBISHWA KEKI YA MIAKA 61'

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimlisha kipande cha keki mumewe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, wakati wa hafla ya kutimiza miaka 61 ya kuzaliwa kwake iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Wanaoshuhudia (katikati) ni Ridhwani Kikwete na mkewe na mwanao Aziza, ambaye ni mjukuu wa Rais.

Picha na Freddy Maro.

0 comments: