MISS MTWARA AZIKWA MCHANA HUU
Marehemu Rahma Swai (21) enzi zauhai wake.
Mazishi ya Miss Mtwara 2011, Rahma Swai yamefanyika mchana wa leo katika makaburi ya Kibamba jijini Dar es Salaam ,
Akizungumza kwa njia ya simu Mwandaaji wa shindano la Miss Mtwara 2011, Rajab Mchata amesema kuwa uamuzi huo ulifikiwa jana baada ya mama mzazi wa Rahma kuwasili akitokea nchini Malawi.
Mchata amesema mazishi hayo yamefanyika majira ya saa 7 mchana maeneo ya Kibamba.
Rahma alifariki juzi Oktoba 18 katika Hospitali ya Ligula mjini Mtwara na alikuwa akifanya kazi katika kituo cha Redio cha Safari FM cha mjini humo.
Bwana alitoa na mwana ametwaa jina lake lihimidiwe Ameni.

0 comments:
Post a Comment