WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AZINDUA KAMPENI YA UNYWAJI POMBE KISTAARABU
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Shamsi Vuai Nahodha (kulia), akimpongeza Mkurugenzi wa Kampuni ya bia ya Serengeti SBL, baada ya kuzindua rasmi kampeni ya Unywaji wa pombe kistaarabu (RESPONSIBLE DRINKING CAMPAIGN), iliyofanyika leo katika hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam.
Kampeni hiyi itazidi kutangazwa kwenye vyombo vyote vya habari ikiwa ni pamoja na Redio, Magazeti, Televisheni, na Mitandao, zikiwemo Blogs (katika picha kushoto), ni kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Mohamed Mpinga.
Waziri Shamsi amesema, takwimu zinaonyesha mwaka 2007 ajali zilizotokea ni 17.617 huku vifo vikifikia 2838 wakati hasara ya mali ilikuwa ni shilingi bilioni 508, ambapo makosa ya kibinadamu yaliyosababisha ajali yalikuwa asilimia 176.40%.
Ameishukuru kampuni ya Serengeti Breweriers (SBL) kwa kuanzisha kampeni hiyo kwani itasaidia sana kupunguza ajali ambazo zimekuwa zikisababisha vifo, Majeruhi na Hasara ya mali nyingi zaidi nchini.

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Shamsi Nahodha akiangalia mabango ya matangazo yanayotoa ujumbe wa kunywa pombe kistaarabu, katika kampeni iliyozinduliwa leo.
Waziri Shamsi Nahodha akipokea vifaa maalum kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Richard Wells, vifaa hivyo vitakavyotumika nchini kote ili kuwapima madereva wanaolewa huku wakiendesha magari.
Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani nchini Mohamed Mpinga akitoa ujumbe wake katika uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya bia ya serengeti (SBL) Bw. Ephraim Mafuru akizungumza katika uzinduzi huo.
0 comments:
Post a Comment