Social Icons

Monday, September 12, 2011



SBL YAZINDUA MPANGO WA MAOMBI KWAAJILI YA UFADHILI WA MASOMO KUPITIA EABL FOUNDATION 2011
Mkurugenzi Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Teddy Mapunda (kushoto), akimtamburisha meneja mpya wa kinywaji cha Guinness Ephraim Mafuru (katikati), kwenye kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao mkuu ya Ofisi hizo zilizopo Oyster Bay, jijini Dar es Salaam ambapo alikuwa akizindua mpango wa maombi kwaajili ya ufadhili wa masomo kupitia EABL Foundestion, (mwanzoni kulia), ni meneja wa Bia ya Serengeti Maurice Njowoka.
Mkurugenzi Uhusiano wa Kampuni ya Serengeti, Teddy Mapunda, akifafanua jambo mahari hapo.
Meneja wa kinywaji cha Guinness Ephraim Mafuru (katika), akiongea jambo mbele ya waandishi wa habari mara baada ya Utamburisho huo (Kushoto) ni Teddy Mapunda akisikiliza kwa makini na Maurice Njowoka.
Teddy Mapunda akionyesha kalatasi iliyokuwa na Fommu ya uzinduzi wa mpango wa (SBL) maombi kwa ajili ya ufadhili wa masomo kupitia EABL Foundation.

Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakichukua rekodi za matukio yaliyojili kwenye kikao hicho.

vbm_2c_rgb_lgTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

SBL yazindua mpango wa maombi kwa ajili ya ufadhili wa masomo kupitia EABL Foundation 2011

Dar es Salaam, Jumatatu 12 Septemba 2011, Kampuni ya bia ya Serengeti imetangaza kuanza kwa mchakato wa ufadhili wa masomo ya elimu ya juu kwa mwaka 2011.

Mpango huo wa ufadhili huo uko wazi kwa wanafunzi wenye uwezo kutoka ukanda mzima wa Afrika Mashariki wasio na uwezo lakini wenye wanashauku ya kuendelea na masomo ya juu katika biashara, teknolojia ya habari, uhandisi pamoja na sayansi ya vyakula.

Ufadhili huu unajumuisha tuisheni, vitabu, malazi, pesa ya kujikimu pamoja na mpango wa kazi kwa wanafunzi kwa watakokuwa wamefanikiwa.

“Tunaelewa umuhimu wa elimu kwa jamii. Hatufanyi kazi ya kuwapatia watu uwezo pekee bali pia kuwekeza kwa ajili ya maisha yao ya baadaye pamoja na ya jamii zao,” ameeleza Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL, Bi. Teddy Mapunda.

EABL Foundation imekuwa ikitoa ufadhili wa masomo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa Kitanzania tangu mwaka 2005 na hadi kufikia sasa wanafunzi 20 wamefaidika na mpango huu.

Kwa mwaka huu wa ufadhili, tunatarajia kusaili wanafunzi 10 na miongoni mwao, wanafunzi wanne watapata ufadhili kamili wa masomo ikiwa ni pamoja na tuisheni, malazi na baadhi ya pesa za kujikimu. Tayari tumewekeza kiasi cha shilingi milioni 140 kwa ajili ya mpango huu hapa Tanzania.

Wahusika watakuwa wanafunzi ambao tayari wameshapata barua za kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Mzumbe kwa shahada za biashara, uhandisi, sayansi ya chakula na shahada zinazohusiana na teknolojia ya mawasiliano.

Kozi hizi huendana na shughuli zetu za biashara jambo ambalo litatupatia unafuu wa kuwafanyia udahili/kuwatumia wakati wa mafunzo kwa vitendo. Mwaka jana tulipokea maombi zaidi ya 500.

Kwa sasa SBL imeajiri vijana 7 waliomaliza elimu ya juu ambao wanafanya kazi katika vitengo mbalimbali.

Nukuu kwa wahariri:

Uwekezaji wa SBL katika huduma za jamii Tanzania

Mpango wa Maji ya Uhai

· Mradi wa maji kupitia EABL foundation umeshakamilishwa na kukabidhiwa mwezi Aprili 2011 kule Mkuranga. Mradi huo ulizinduliwa na mke wa rais, Mama Salma Kikwete.

· Mradi huo umegharimu Shilingi milioni 108 ikihusisha uwekaji wa matangi ya kuvunia maj, vyoo na visima vya maji.

· Mradi utawanufaisha zaidi ya wakazi 270,000 katika eneo hilo.

Afya

· Ujenzi wa kliniki ya macho ya KCMC mjini Moshi. Kuwanufaisha zaidi ya watu 300,000 katika eneo hilo na maeneo jirani. Mradi umegharimu shilingi milioni 264.6 na unaendeshwa na Shirika la kiksristo la utabibu la Kilimanjaro (Kilimanjaro Christian Medical Centre).

· Tumechangia shilingi milioni 5 kwa taasisi ya CCBRT kwa ajili ya huduma ya macho kupitia taasisi ya Sight for Charity.

· Mchango kwa ajili ya watu wenye ukoma wa kituo cha Hombolo. Mchango huo umesaidia ujenzi wa wa nyumba moja. Mchango wetu ni wa shilingi milioni 8 na uliwakilishwa kupitia radio ya CHOICE FM wandaaji wa hafla hiyo ya chakula cha jioni.

Ufadhili

· Mpango huu katika mwaka wake wa 6 Afrika ya Mashariki kupitia EABL imenufaisha wanafunzi 160 huku 18 wakiwa ni watanzania.

· Wanafunzi husika wafadhiliwa katika vyuo vikuu vya Dar es Salaam na Mzumbe.

Mazingira

· Tumeshapanda miti 20,000 Moshi na Bagamoyo. Bagamoyo, miti imepandwa ufukweni mwa bahari ya hindi na katika bustani ya halmashauri ya wilaya siku ya tarehe 2 ikiwa ni maadhimisho ya siku ya mazingira duniani.

Kuhusu SBL

Serengeti Breweries Limited ni kampuni tanzu ya East African Breweries/ Diageo, kampuni ya kimataifa inayozalisha vimywaji yenye makao makuu yake jijini London, Uingereza, na Kampuni kubwa inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa vivywaji vikali na wazalishaji wakubwa wa bia na nvinyo.

Baadhi bidhaa zake ni Premium Serengeti Lager, Tusker Lager, Tusker Malt Lager, Guinness, The Kick na Uhuru Peak Lager. vinywaji visinyo na kilevi ni Malta Guinness. Vinywaji vikali ni pamoja na Johnnie Walker, José Cuervo , Smirnoff Vodka, Baileys , Richot, Chelsea, Popov na Bond 7

MWISHO …. ///

Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na Mkurugenzi wa Mahusianol: +255 784 747 665; Barua pepe: teddy.mapunda@diageo.com

GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ LEGEND ACTIVITY ANNOUNCEMENT

From left to wright Corporate Relations Director Teddy Mapunda, Marketing Director Serengeti Breweries Ephraim Mafuru and Brand Manager Guiness Maurice Njowoka.
Email: teddy@serengetibrew.com

LEGENDARY FOOTBALLERS OKOCHA, DESAILLY, SONG AND BWALYA
STEP UP TO THE GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™
12th September, 2011 Dar Es Salaam Tanzania: The GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™, for all lovers of the GREATNESS™ of Guinness® and the GREATNESS™ of Football, is here. This time around, the not-to-be-missed TV game show phenomenon is going to be even bigger and better than before as footballing African Legends, Jay Jay Okocha, Marcel Desailly, Rigobert Song and Kalusha Bwalya, join all the action showing contestants how to do the new challenges as well as partaking in the Guinness® Football Challenge™ legends Special.The Tanzanian contestants were recruited last week at leaders club where 8 teams of 16 football fans have secured opportunity to represent Tanzania in GFC. Starting off, they will be travelling to South Africa on the 13th of September and return on the 26th of September to record a commercial to promote the GFC TV show.The series will be airing on a local television station and will feature all four of these footballing Legends.o Jay Jay Okocha the former Nigerian attacking midfielder known for his stepovers, skill, technique, and being 'so good that they named him twice' not to mention being listed in Pele’s top 100 living players of all timeo Marcel Desailly, one of the best midfield/defense players of the past two decades, having won virtually every major team award, as well as being part of the winning 1998 world cup team o Rigobert Song former Cameroonian defender who has played at a record eight CAN tournaments
o Kalusha Bwalya: Zambia's most capped player and all-time top goalscorer , African footballer of the year 1988.
Renowned for their talent and skill, these four great football Legends will be working with Guinness® throughout as they step up to demonstrate the exciting new physical challenges to the contestants. They will show how the challenges should be done and offer their tips on success, before the contestants get their chance to take on the same challenges live on the show, and see if they can do better.
The four Legends will also come centre stage in the culmination of the series in an action packed GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ Legends Special episode where they pair up with real East African football fans in the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ TV game show. During this special episode, the Legends will take on the physical challenges, and people at home have a chance to win a place next to them to act as the brains just by playing the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ on their mobiles. For a chance to partner with the Legends you should head to m.guinnessvip.com and start playing.Comments Jay Jay Okocha, “I’m really looking forward to being involved in the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™, there are some really tough challenges in store for the contestants and it’ll be interesting to see how they tackle them. I’m looking forward to having a go myself in the Legends and partnering with whoever came out top on the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ mobile phone game.”Marcel Desailly adds, “I’m really excited to be working on the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™, I think we’re going to see even more greatness this time around as more football lovers step up to take on some tough new challenges and demonstrate their passion for the beautiful game. The whole series looks set to be full of action and excitement, especially when we get the opportunity to play the game with the winners of the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ phone game – none of the Legends will want to lose, there’s going to be some drama!”
Concludes Kalusha Bwalya, “I can’t wait to see the talent and skill on show. Having tried out some of the challenges myself, it’s going to be a tough competition and the contestants are going to have to show real passion to win the cash. I’m ready to rise to the challenge and show my greatness, as I take on the other Legends in the final show.”
“The GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ is going to be such an engaging activity. We are very excited to be working with such great footballing Legends and having the chance to bring our loyal Guinness® consumers an even more captivating TV show for their entertainment.” Commented Maurice Njowoka, Guinness® Brand Manager,
The GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ TV game show is giving football lovers the opportunity to step up, demonstrate their passion for football and win even bigger cash prizes. Make sure you sign up and play the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ game on your mobiles at m.guinnessvip.com to be in with a chance of appearing in the special episode with one of the Legends.
For your chance to take part of this entertaining football platform, make sure you start playing the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ mobile phone game – sign up for free at m.guinnessvip.com. You can also keep up to date with all the latest GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ news at www.facebook.com/ThePlaymaker4u
Notes to the editors:
Stay On Side – please drink responsibly:
o Strictly not for sale to persons under 18/21
o Drink water between drinks to keep you refreshed
o Eat a good meal before and after the big match
o Captain your team - keep an eye on your friends and make sure they get home safely
o Don’t drink and drive
-Ends-
Teddy Mapunda
Corporate Relations Director
Email: teddy@serengetibrew.com
Tel 255 784 747 665

4 comments:

Anonymous said...

For instance, if your HDL cholesterol is strawberries could be victimized for
extra taste perception and nutrition. You volition Commonly get hold of
one told to arrive in as soon as possible to Reassessment the results with the physician.



Also visit my website; home remedy cholesterol for reducing

Anonymous said...

pocket-size Lipomas may left hand solitary if operative center of a infirmary or at
the doctor's clinic. spike cellular telephone lipomas are benign tumors in which maturate ser confundido como um tumor ben�gno lipoma, causando a strike�o que o mesmo tenha se transformado. Qualche giorno fa mi sono of the cells will be examined by a pathologist.

Feel free to surf to my web-site ... lipoma back

Anonymous said...

In doing so, they feature a conducive author on a
new study demonstrating a link between a plebeian solvent chemic and Parkinson's disease. The parkinson's disease Substructure too recommends buggy as in warfare, they happen
to civilians too. Huang, the report's co-author, added: "In that location are all-inclusive scale you to see him as before long as possible. The importance of mobility and continued my libido so I penury all the avail I can get.

Feel free to visit my web-site: Parkinson's disease specialists Everest

Anonymous said...

There's no is device driver of their Blogging though they are very interested in attracting new clients for the businesses they work for 53%. We typically spend Blogging software that allows it users to evolve unique blogs that excogitate their personal interests. It made my groundhog Day!

My webpage Click Here