Social Icons

Thursday, September 15, 2011

NELLY KAMWELU ATUA NCHINI

MISS Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K. Nyerere mapema leo asubuhi.

Miss Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K. Nyerere mapema leo asubuhi wakati akiwasili kutoka Sao Paulo,Brazil kulikofanyika fainali za Dunia za mashindano hayo.
Nelly Kamwelu ameweza kuiwakilisha vyema nchi yetu katika mashindano hayo na alifanikiwa kuingia katika 16 bora na kushika nafasi ya saba kwenye mashindano ya vazi la taifa
Na Bongoweekend blog

0 comments: