Social Icons

Friday, September 16, 2011

MBUNGE WA VITI MAALUM DK MARRY MWANJELWA AMWANGA MAGODORO KWA WAJAWAZITO MBEYA



Dr Marry Mwanjelwa akabidhi magodoro yenye thamani za zaidi ya shilingi milioni 6, kwa Hospitali ya Rufaa Meta, Kituo cha Afya Mwanjelwa jijini Mbeya na Hospitali ya wilaya ya Ileje, Mbozi na Mbeya Vijijini.
Akina Mama wakishangilia ujio wa Mtetezi wao Dk Marry Mwanjelwa ambaye ni Mbunge wa Viti maalum
Dr Marry akisalimiana na mmoja wa madaktari wa Hospitali ya Rufaa Meta.
Dr Marry akipata maelezo mafupi ya ujio wake katika Hospitali ya Meta.
Dr Marry akisalimiana na akina Mama wajawazito katika Kituo cha Afya Mwanjelwa
Dr Marry Mwanjelwa akipewa utaratibu na maelezo kutoka kwa Muuguzi mata baada ya kutembelea wodi la akina Mama Wajawazito.
Dr Marry akisalimiana na kuwafariji akina Mama wajawazito
Dr Marry akitazama Kichanga
Utoaji wa misaada ya magodoro unaendelea kutolewa ambapo katika Hospitali ya Meta amekabidhi magodoro 60, Mwanjelwa magodoro 60, na Hospitali ya Ileje magodoro 60, huku katika Hospitali ya Mbozi akitoa magodoro 59 na Mbeya vijijini magodoro 60.
Picha: Mbeya yetu Blog

0 comments: