AIRTEL YAZINDUA MNARA KIJIJI CHA KANYENZI SUMBAWANGAMWENYEKITI wa Kijiji cha Kanyenzi Deodatus Chatindwa, akikata utepe wakati wa uzinduzi wa huduma za mawasiliano ya kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, katika kijiji cha Kanyezi Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa.
Waliomzunguka ni baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wakishuhudia uzinduzi huo ambapo Airtel ndiyo Mtandao pekee unaopatikana kijijini Kanyezi kwa sasa.
Waliomzunguka ni baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wakishuhudia uzinduzi huo ambapo Airtel ndiyo Mtandao pekee unaopatikana kijijini Kanyezi kwa sasa.
0 comments:
Post a Comment