Social Icons

Thursday, August 4, 2011

WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA MBEYA WAGOMA

Hiki ni kituo cha ORYX ambacho kilikua kinaendelea kutoa huduma bila kujua wenzao wamegoma kuuza mafuta.
Baadhi ya madereva wakigombea mafuta na vidumu katika moja ya kituo cha mafuta.
Vituo vya mafuta Jijini Mbeya vimegoma kuuza mafuta aina zote sababu ya kupinga hatua ya EWURA kupunguza bei ya mafuta kuanzia leo wakidai ni hasara kwao sababu wenyewe walinunua kwa bei kubwa iweje leo wauze kwa bei ndongo wameomba wapewe angalau siku kadhaa kumalizia mafuta waliyonayo sasa katika vituo vyao.
Na Mbeya yetu

0 comments: