Social Icons

Saturday, July 23, 2011

VODACOM MISS KANDA YA MASHARIKI HUYU HAPA

Vodacom Miss Eastern Zone 2011, Loveness Flavian (katikati) akipunga mkono akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili, Asha Saleh (kushoto) na Mariaclara Mathayo aliyeshika nafasi ya tatu, baada ya warembo hawa kutangazwa washindi wa shindano hilo. Loveness aliwashinda warembo wengine 10.
Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakicheza show ya ufunguzi wa shindano hilo. . (Picha na Mpigapicha wetu)
Warembo wakipita jukwaani na vazi la ufukweni katika shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, iliyofanyika mjini Morogoro jana. Kutoka kushoto ni Rahma Swai, Winifrida Gration na Thureya Dabas.
Warembo wakipita jukwaani na vazi la ufukweni katika shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, iliyofanyika mjini Morogoro jana. Kutoka kulshoto ni Asha Iddy, Ritha Kavishe na Mariaclara Mathayo.
Mshirki wa shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Rahma Swai akijinadi jukwaani mbele ya majaji na mashabiki na kivazi cha ubunifu.
.
Mshirki wa shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Ritha Kavishe akijinadi jukwaani mbele ya majaji na mashabiki na kivazi cha ubunifu.
Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya 5 bora ya Vodacon Miss Kanda ya Mashariki. Kutoka Kulia ni Ritha Kavishe, Rahma Swai, Mariaclara Mathayo, Loveness Flavian na Asha Saleh.
Picha ya pamoja ya warembo wote wanaowania taji la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na vazi lao la ubunifu.
Ibrahim Kaude kutoka Vodacom akipokea Cheti cha shukrani kwa udhamini wa shindano hilo. Aliyekuwa akimkabidhi ni Vodacom Miss Tanzania 2010, Genevieve Mpangala.
Mwanamuziki wa Bongo Flaver Duly Sykes akitumbuiza katika shindano hilo. (Picha na Mpigapicha wetu).
Mshirki wa shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Loveness Flavian akijinadi jukwaani mbele ya majaji na mashabiki na kivazi cha ubunifu.

PICHA: FULL SHANGWEBLOGSPOT

0 comments: