Baadhi ya washiriki wa kinyang’anyiro hicho wakiwa kwenye pozi leo mchana.
WASHIRIKI wa kumsaka miss Temeke 2011, wanatarajia kutowana jasho leo kumtafuta mrimbwende atayeshikiria taji hilo kwa mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Tcc Club Chang'ombe Temeke jijini Dar es Salaam.
Akiongea na Mateja2o, mapema leo mratibu wa shindano hilo, Benny Kisaka, alisema kwamba maandalizi ya shughuli hiyo yako tayali na kinachosubiliwa hadi sasa ni tendo lenyewe kufanyika.
Kisaka, alikamirisha kwa kusema kwamba, mshindi wa kwanza wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi ml, 2,000,000.
Saturday, July 16, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment