Social Icons

Friday, July 22, 2011

MISS LAKE ZONE KUMENYANA KESHO

Warembo wa Vodacom miss lake zone, wakiwa kwenye pozi la pamoja.
Second ofisa wa meli ya Victoria Godifrey Kalikayo akitoa maelezo kwa washiriki hao baada ya kuingia kwenye meli hiyo kujionea utendaji kazi.Baada ya kushuhudia manzali ya melini warembo hao walipata fursa ya kupata chakula cha mchana.
Hizi ni safari za mwisho mwisho kwa warembo hao kuelekea siku ya jumamosi kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka Miss lake Zone wa mwaka huu.
Warembo wakitupia kitu cha mchele pande hizo
PICHA: UNIQUBLOGSPOT

0 comments: