Social Icons

Friday, July 22, 2011

AISHA MADINDA APOKELEWA KAMA MARAIKA EXTRA BONGO

Mashabiki wa bendi ya Extra Bongo, wakimbeba juu juu mnenguaji mpya wa bendi hiyo Aisha Madinda, aliyejiunga hivi karibuni wakati wa shoo yake ya kwanza akiwa na bendi hiyo wakati alipotambulisha rasmi katika ukumbi wa Club Masai uliopo Ilala Dar es Salaam juzi. Aisha amejiunga na bendi hiyo akitokea bendi ya African Stars Twanga Pepeta.
Aisha Madinda, akionyesha umahiri wake wa kucheza miondoko ya bendi ya Extra Bongo wakati alipokuwa akitambulishwa rasmi kujiunga na bendi hiyo wakati wa onyesho lililofanyika ukumbi wa Club Masai juzi usiku.
Shangwe za kumlaki Aisha Madinda zikiendelea ukumbuni hapo.....
Picha: sufianimafotoblogspot.com

0 comments: