Baadhi ya wadau wakiwa tayali kwa shoo ya miss Kinondoni 2011
Yusuf Mlela (kushoto), akizama ukumbini hapo na Jaqueline Wolper (katikati), kulia ni mmoja wa wahudumu wa Redd's
One Star akizama na mrembo ukumbini hapo
Miss Dar City Centre 2011, Alexia (kulia), akiwa tayari kwa mashindano ukumbini hapo na rafiki yake
Baadhi ya wadau wakiwa kwenye viti vyao tayari kwa shoo hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Giraff Hotel DK Charles (kushoto),akiwa katika pozi ukumbini hapo
DK Charles (kulia), akipokea tuzo ya heshima kwa kufadhili vizuri mashindano hayo
Mkabidhi zawadi akilejea kwenye kiti chake
Miss Kinondoni 2006, Richa Adhia (kulia), akikabidhi moja ya zawadi hizo
Mrenbo akitoka kuchukua tuzo kwa niaba ya Clouds FM
M/kiti wa kampuni ya Pappaz Entertaiment, akipokea tuzo ya udhamini wa mashindano hayo
Mshereheshaji wa shughuli hiyo akimhoji swali Brand maneger wa TBL
0 comments:
Post a Comment