Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Bilala, wakiwa katika meza kuu kwenye Sherehe hiyo iliyofanyika Bagamoyo.
Rais Jakaya, akifurahia jambo na Mama Zakhia Bilal (kushoto) na Mama Asha Bilal (wapili kulia)
Mama Salma Kikwete (kushoto) akiwa na Mama Zakhia Bilal (katikati) na Mama Asha Bilal, wakati wakiwa katika sherehe hiyo ya ndoa ya mdogo wake na Rais Jakaya Kikwete, Yusuph Kikwete leo mjini Bagamoyo.
Bwana harusi, Yusuph Kikwete (wapili kulia), akiongozana na wapambe wake wakati wakiingia katika uwanja huo kwa ajili ya kufunga ndoa.
Bwana Harusi, akifungishwa ndoa na Sheikh tayali kwa kung'a mke.
Bwana Harusi Yusuph na waumini wa dini ya Kiislamu wakiomba dua baada ya tendo la kufungishwa ndoa.
Sheikh, akitoa mawaidha baada ya bwana harusi kufungishwa ndoa,
Mtoto wa Rais Miraji Kikwete, akichukua matukio mbali mbali ya sherehe hiyo.
Bwana Harusi, Yusuph Kikwete, akiwa na mkewe Mariam Ombaka, baada ya kufungishwa ndoa.
JK, akisalimiana na Mudhihir Mudhihir, walipokutana katika sherehe hiyo.
0 comments:
Post a Comment