Warembo watakaochuana katika shindano la kumtafuta Vodacom Miss Dar Inter College litakalofanyika Juni 17, Ijumaa, wiki hii kwenye ukumbi wa Sun Cirro uliopo Sinza jijini Dar. |
Mazoezi ya warembo kucheza dansi yanaendelea kambini hapo
Kila mshiriki yuko tayari
Washiriki wakijinoa kwaaili ya shindano hilo.
0 comments:
Post a Comment