MKURUGENZI wa Kampuni ya Golden Dreams, Dk. Alfred Mutua na Mkurugenzi wa Radio One/ITV, Joyce Mhaville, leo wamezindua tuzo za muziki za Afrika Mashariki ziitwazo East Africa Media Awards ambazo zitashirikisha nchi nane za Afrika Mashariki. Tuzo hizo zimezinduliwa katika Mgahawa wa Hadee’s jijini Dar es Salaam.
Mutua amesema tuzo hizo ambazo zitakuwa 28 zitatolewa nchini Kenya Agosti 20 mwaka huu na mwakani zitatolewa hapa nchini.
Wanahabari wakifuatilia tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment