Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh (mwenye suti) akizungumza na Kaimu Katibu Mkuu wa chama cha CUF, Julius Itatiro, katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo baada ya CAG Ludovick Utouh, kutoa taarifa ya ufafanuzi kwa vyombo vya habari kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zilizochapishwa hivi karibuni katiak vyombo vya habari.
Monday, May 2, 2011
MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) LUDOVICK AFAFANUA KUHUSU RIPOTI ZA MDHIBITI MKUU ZA HIVI KARIBUNI
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh (mwenye suti) akizungumza na Kaimu Katibu Mkuu wa chama cha CUF, Julius Itatiro, katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo baada ya CAG Ludovick Utouh, kutoa taarifa ya ufafanuzi kwa vyombo vya habari kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zilizochapishwa hivi karibuni katiak vyombo vya habari.
Labels:
www.mateja20.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment