SHINDANO la kumsaka Miss Dar City Center 2011, Lililoandaliwa na Kampuni ya Fetty Entertainment, hatimaye maandalizi yake yameanza kuunguruma ndani ya Hotel ya Lamada Ilala jijini Dar es Salaam, ambapo warembo hao watafanyia kambi yao.
Akizungumza na Mateja20, Mratibu wa shindano hilo Fatma Mgovano 'Fetty', alisema kwamba, amelazimika kuanza maandalizi mapema ili kuwajengea uwezo mkubwa wa kujiamini jukwaani washiriki hao.
Fetty aliongeza kuwa shindano la kumpata mrembo wa jimbo hilo linatalajiwa kufanyika May 13 mwaka huu katika ukumbi wa Lamada Hotel.

0 comments:
Post a Comment