Social Icons

Monday, March 14, 2011

WAKALI WA MUZIKI WA INJILI WAPEWA TUZO

Martha Mwaipaja (kushoto) akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike chipukizi kutoka kwa Mchungaji Onesmo Ndege wa kanisa la Living Water, lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam.
WADAU mbalimbali wa muziki injili waliofanya vizuri mwaka uliopita jana walipewa tuzo mbalimbali katika Tamasha la Muziki wa Injili Tanzania lililofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Martha Mwaipaja akitoa burudani baada ya kupewa tuzo.

Mtoto Miriam Shilwa akipokea tuzo ya Balozi Bora wa Jamii.

Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ na Msanii wa kundi la THT Mwasiti Almas wakifutilia kinachoendelea.

0 comments: