Social Icons

Sunday, March 13, 2011

SEMINA ZA WAANDISHI WA HABARI ZA BUNGE BAGAMOYO

Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai akifungua semina ya waandishi wa habari za bunge mapema jana mjini Bagamoyo. Kulia nikatibu wa Bunge Dr Thomas Kashilila na kushoto ni Dr Harrison Mwakyembe naibu waziri wa ujenzi na mbunge wa Kyela..
Naibu waziri wa ujenzi Dr Harrison Mwakyembe akitoa mada juu ya uhuru wa vyombo vya habari na mipaka yake wakati wa semina ya bunge kwa waandishi wa habari mjini Bagamoyo.

0 comments: