Social Icons

Thursday, March 17, 2011

MKUU WA MKOA WA MOROGORO ISSA MACHIBYA APONEA CHUPUCHUPU

Mti uliogongwa na gari ya Mkuu wa Mkoa
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani (RTO),Mkoa wa Morogoro Ibrahim Mwamakula akitazama gari ya Mkuu wa Mkoa wa Mororgoro



Unaweza kushangaa gari lililokuwa limembeba Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Issa Machibya,aina ya Toyota Land Cruiser ,limefikaje hapo, lakini ndivyo ilivyokuwa kwa kuwa dereva alilazimika kuacha njia ili asigongane na mwendesha pikipiki katika barabara ya Morogoro- Dar es Salaam.

0 comments: