Makamu wa Rais akisoma risala kabla ya kuzindua maadhimisho hayo.
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Ghalib Bilal, jana alizindua rasmi siku ya maadhimisho ya afya ya figo Duniani ambayo kilele chake kilikuwa jana. Madhimisho hayo hapa nchini yalifanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Joti naye alipita jukwaani kama mlimbwende.
Dogo Dito kutoka kundi la THT akiburudisha waliohudhuria kwenye maadhimisho hayo.
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
0 comments:
Post a Comment