Social Icons

Monday, March 14, 2011

MAJITAKA KARIBU NA MAKAZI YA WATU

Mkazi wa Dar es Salaam akipita jirani na majitaka yanayotoka kwenye vyoo jirani na nyumba za polisi, Msimbazi, Kariakoo jijini humo.Picha na Robert Okanda,Hali hii ikiendelea panaweza kutokea magonjwa ya mlipuko seemu hii

0 comments: