Social Icons

Thursday, March 10, 2011

HII NI HATARI KWA WATU WANAOTUMIA BARABARA HII

Mabasi ya Abiria hupita kwa hatari karibu na mmomonyoko maeneo ya gerezani jijini
Dar es salaam, pia mabomba ya maji yanaweza kuharibika kama hatua za haraka zisipo chukuliwa

0 comments: