Diamond akiwapagawashi mashabiki wake ndani ya ukumbi huo.
MWANAMUZIKI wa kizazi kipya, Naseeb Abdul ‘Diamond’, usiku wa kuamkia leo aliwapagawisha vilivyo mashabiki wake waliohudhuria shoo aliyokuwa akikamua ndani ya ukumbi wa New Maisha Club, Masaki, jijini Dar es Salaam.
Miss Kiswahili Rehema Fabian, akifuatilia shoo hiyo.
Mwanamitindo maarufu, Kajala Masanja (kulia), akiwa kwenye pozi na mwanamitindo mwenzake.
Baadhi ya mashabiki wa muziki huo.
Petit Man (kulia), akiwa na rafiki yake.
Miss Sinza 2010, Amisuu Malki (kulia), akiwa na mwimbaji wa bendi ya Machozi Carlo.
0 comments:
Post a Comment