WAREMBO wanaotarajiwa kuchuana katika shindano la urembo la Giraffe Unique Model, leo mchana walitembelea ofisi za Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Risasi, Amani, Ijumaa Wikienda na Championi. Ofisi hizo ziko eneo la Bamaga, Mwenge, jijini Dar es Salaam.
Wakiwa katika pozi la pamoja.
Baadhi yao wakisoma magazeti yanayochapishwa na Global Publishers.
Wakipozi ili wapigwe picha ya pamoja ofisini hapo.
Mwalimu wa warembo hao Victoria Martine (kulia) akiagana na kumshukuru Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo Richard Manyota.

0 comments:
Post a Comment