Social Icons

Monday, December 27, 2010

TIGO YATOA MSAADA WA KOMPYUTA CHUO KIKUU


AFISA Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (wa kwanza kushoto) akikabidhi msaada wa kompyuta 10 zenye thamani ya shs milioni 12 zilizotolewa na Tigo kwa Chuo Kikuu cha Zanzibar mwishoni mwa wiki iliyopita. Aliyepokea ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Prof Mustafa Roshash (wa tatu kushoto) na wengine wanaoshuhudia ni baadhi wa wanafunzi, walimu na wawakilishi wa Tigo.

Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (wa tatu kushoto) akitoa maelekezo kuhusu masuala ya teknolojia ya mawasiliano katika mtandao kwa baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu hicho.

0 comments: