skip to main |
skip to sidebar
ZIZZOU FASHION YAWANG'ARISHA COASTAL UNION
MKURUGENZI wa maduka ya Zizzou Fashions ambaye pia kipindi cha nyuma aliwahi kuwa nahodha wa Timu ya Coastal Union ya jijini Tanga, Tippo Athuman (kulia), akimkabidhi jezi na mipira Kiongozi wa Coastal Union, Steven Mgoto kwaajili ya lingi ya Tanzania bara inayoendelea hivi sasa, vifaa alivyomkabidhi ni pamoja na Jersey,Mipira,Sox na Beebs.
Katika makabidhiano hayo Tippo amewaahidi kuwa endapo timu hiyo itapanda daraja basi atawavarisha mara kwa mara kama anavyo fanya kwa timu ya Mtibwa Suger.
0 comments:
Post a Comment